KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Wednesday, August 25, 2010

UEFA CHAMPIONS LEAGUE.


Michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya mtoano imeendelea tena usiku wa kuamkia hii leo ambapo;

Anderlecht (Belgium) 2-2 Partizan Belgrade (Serbia) - Partizan wameshinda kwa penati 3-2 baada ya matokeo ya jumla ya idadi ya mabao 4-4.

Sampdoria (Italy) 3-2 Werder Bremen (Germany) - Bremen wameshinda kwa ushindi wa jumla 5-4.

Hapoel Tel Aviv (Israel) 1-1 Salzburg (Austria) - Hapoel wameshinda kwa ushindi wa jumla 4-3.

Sevilla (Spain) 3-4 Braga (Portugal) - Braga wameshindwa kwa ushindi wa jumla 5-3.

Sheriff Tiraspol (Moldova) 0-3 Basel (Switzerland) - Basel wameshinda kwa ushindi wa jumla 4-0.

Hii leo michuano hiyo inaendelea tena ambapo.

Parken, Copenhagen
FC København v Rosenborg BK

Pod Dubnon, Žilina
MSK Zilina v Sparta Praha

White Hart Lane
Tottenham Hotspur v BSC Young Boys

Stade Abbé Deschamps
AJ Auxerre v Zenit St. Petersburg ,

Amsterdam ArenA, Amsterdam
Ajax v Dynamo Kyiv

Washindi wa michezo hii wanakwenda moja kwa moja katika hatua ya makundi.

No comments:

Post a Comment