KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Saturday, August 21, 2010

WENGER ASHANGAZWA NA GALLAS !!!!


Meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger ameonekana kushangazwa na hatuia ya beki na nahodha wake wa zamani William Gallas kujiunga na mahasimu wake wa kubwa huko jijini London Tottenham Hotspur.

Arsene Wenger amesem hatua ya kushaa kwake inatokana na matartajio yake kwa beki huyo kwenda topfauti kutokana nay eye binafsi alifikiri huenda galas angechagua kujiunga na klabu ya mbali na London ama nchini uingereza.

Hata hivyo amesema maamuzi ya Gallas, mwenye umri wa miaka 33, bado yanatakia kuheshimiwa kama ilivyo katikamaamuzi ya kutokana na mkataba wake na klabu ya Arsenal kumalizika mwishoni mwa msimu uliopita.

Mbali na kusema hayo pia wenger amemtakia kila la kheri Gallas katika maisha yake mapya huko White hert Lane.

No comments:

Post a Comment