KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Thursday, August 25, 2011

Michael Platini AMZUNGUMZIA ARSENE WENGER.


Raisi wa shirikisho la soka barani ulaya UEFA Michael Platini amesema anamuone huruma Arsene Wenger kufuatia kadhia iliyomkuta ya kuongezewa adhabu wa kufungiwa michezo miwili ili hali tayari alikua amemaliza adhabu ya kufungiwa mchezo mmoja wa ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Amesema hana budi kumuonea huruma mzee huyo, na alichomtaka meneja huyo ni kuheshimu maamuzi ya kamati ya nidhamu yaliyotolewa dhidi yake huku akikiri bado kuna wakati mgumu wa kuwazuia mameneja kutowasiliana na benchi la ufundi wanapokua jukwaani.

Hivi sasa shirikisho la soka barani Ulaya UEFA linapanga makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya katika hafla inayofanyika nchini Ufaransa katika mji wa Monaco.

Katika upangaji huo timu zilizopo katika chungu cha kwanza yaani Pot one zitatengeneza makundi.

Pot One:

Barcelona
Manchester United
Chelsea
Bayern Munich
Arsenal
Real Madrid
FC Porto
Internazionale


Pot Two:

AC Milan
Olympic Lyon
Shakhtar Donetsk
Valencia
Benfica
Villarreal
CSKA Moscow
Olympic Marseille


Pot Three:

Zenit St. Petersburg
Ajax
Bayer Leverkusen
Olympiakos
Manchester City
Lille
FC Basel
BATE Borisov


Pot Four:
Borussia Dortmund
Napoli
Dinamo Zagreb
Apoel FC
Trabzonspor
Genk
Viktoria Plzen
Otelul Galati

No comments:

Post a Comment