KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, August 12, 2011

PAZIA LA LIGI KUU KUFUNGULIWA KESHO.


Ligi kuu ya soka nchini Uingereza msimu wa mwaka 2011-12 kesho inafunguliwa rasmi kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti ambapo:

Ewood park.
Blackburn v Wolverhampton

Craven Cottage.
Fulham v Aston Villa

Anfiled.
Liverpool v Sunderland

Loftus Road
QPR v Bolton

Dw Stadium.
Wigan v Norwich

St James Park.
Newcastle v Arsenal

No comments:

Post a Comment