Meneja wa klabu ya Chelsea Andre Villas-Boas amesema baada ya kushindwa kumsajili kiungo kutoka nchini Croatia pamoja na klabu ya tottenham hotspurs Luka Modric katika kipindi cha usajili kilichomalizika usiku wa kumkia September mosi, wataangaliz uwezekano wa kuanzisha upya suala hilo mwezi januari kama itawezekana.
Chelsea waliripotiwa kuwa tayari kutoa kiasi cha paund million 40 kwa ajili ya kumsajili kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, lakini mipango hiyo haikufanikiwa mpaka dirisha la usajili linafungwa.
Chelsea waliripotiwa kuwa tayari kutoa kiasi cha paund million 40 kwa ajili ya kumsajili kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, lakini mipango hiyo haikufanikiwa mpaka dirisha la usajili linafungwa.
No comments:
Post a Comment