Baada ya kufanikiwa kumuuza kiungo wa kimataifa toka nchini Hispania Xabi Alonso viongozi wa klabu ya Liverpool wapo katika harakati za kutaka kumsajili kiungo wa kimataifa toka nchini Italia Alberto Aquilani.
Kiungo huyo wa Italia kwa sasa yupo katika hatua za upimaji wa afya yake, na yasemekana huenda akasajiliwa kwa kiasi cha paund million 20 akitokea As Roma.

Xavi Alonso alipokuwa akipima afya yake jana huko St Bernabeu.
No comments:
Post a Comment