XTRA COVER.
Tuesday, October 4, 2011
Roman Abramovich APANIA KUIHAMISHA CHELSEA.
›
Mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amedhamiria kubadilisha historia ya klabu hiyo baada ya miaka 106 kupitia, kwa kuhamisha makazi...
6 comments:
BONGE LA BIFU NDANI YA FULHAM.
›
Meneja wa klabu ya Fulham Martin Jol ameingia katika vita kali na baadhi ya wachezaji wake baada ya kuwatoza faini ya paund 500, kufuatia ki...
2 comments:
NIKIPEWA ARSENAL NIPO TAYARI - Carlo Michelangelo Ancellotti.
›
Aliekua meneja wa Chelsea Carlo Michelangelo Ancelotti amesema yupo tayari kukinoa kikosi cha Arsenal endapo uongozi wa klabu hiyo utaamua k...
1 comment:
PSG WAJIPANGA KUMSAJILI TEVEZ.
›
Ikiwa imepita siku moja baada ya kufanya mazungumzo na uongozi wa klabu ya Man City, mshambuliaji kutoka nchini Argentina Carlos Tevez, anah...
Monday, October 3, 2011
Hamburg SV WAPO MSTUNI WAKISAKA MENEJA MPYA.
›
Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Hamburg SV Frank Arnesen amesema klabu hiyo itakua chini ya meneja mpya mara baada ya kumalizika kwa wiki ...
Francesco Totti KUREJEA UWANJANI KATI KATI YA OKTOBA.
›
Nahodha na mshambuliaji wa Associazione Sportiva Roma Francesco Totti anapewa nafasi kubwa ya kucheza mchezo ujao wa ligi kuu ya soka nchini...
1 comment:
BAKARI NJE MIEZI MITATU !!!
›
Beki wa pembeni wa klabu ya Arsenal Bacary Sagna, itamchukua muda wa miezi miwili hadi mitatu kurejea tena uwanjani baada ya kuumia akiwa ka...
3 comments:
UONGOZI WA MAN CITY KUKUTANA NA TEVEZ.
›
Mshambuliaji kutoka nchini Argentina Carlos Tevez hii leo alitarajia kukutana na viongozi wa klabu ya Man city ikiwa ni sehemu ya kuendelea ...
11 comments:
CAPELLO AWATEMA MAGWIJI KIKOSINI.
›
Beki wa Man Utd Rio Ferdinand pamoja na kiungo wa Liverpool Steven Gerrard wameachwa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza ambacho mw...
1 comment:
Saturday, October 1, 2011
ARSENE AMKINGIA KIFUA ADEBAYOR.
›
Meneja wa washika bunduki wa Ashburton Grove, Arsenal Arsène Wenger amesema haamini kama mashabiki wa klabu hiyo bado wanakereka na tabia y...
6 comments:
VITA YA MANENO YA KUPAMBANA.
›
Meneja wa klabu ya Chelsea Andre Villas Boas amesema bado anakabiliwa na mazingira magumu ya kuzifahamu timu pinzani ikiwa ni mara yake ya k...
2 comments:
URENO KUWAKOSA WACHEZAJI MUHIMU KIKOSINI.
›
Kikosi cha timu ya taifa ya Ureno, kitaelekea katika mchezo wa kuwania nafasi ya kucheza fainali za mataifa ya barani Ulaya, dhidi ya timu y...
Cesc Fabregas AUMIA MAZOEZINI.
›
Kiungo kutoka nchini Hispania na klabu bingwa nchini humo FC Barcelona Cesc Fabregas huenda ikamchukua muda wa majuma matatu kurejea tena uw...
Victor Anichebe ATAMANI MCHEZO WA MWISHO WA NIGERIA.
›
Mshambuliaji kutoka nchini Nigeria Victor Anichebe amesema kwa sasa si mwenye furaha kufuatia majeraha yanayomkabilia ambayo yatamkosesha mc...
MAANDALIZI YA LIGI YA MABINGWA AFRIKA.
›
Beki kutoka nchini Ghana pamoja na klabu ya Esperance ya nchini Tunisia Harrison Afful amesema ushirikiano na umoja ndani ya kikosi cha klab...
Friday, September 30, 2011
King Kenny Dalglish AWAHUSIA MABEKI WAKE.
›
Meneja wa majogoo wa jiji Liverpool King Kenny Dalglish ameitaka safu ya ulinzi ya kikosi chake kufanya juhudui ambazo zitawawezesha kufanya...
SIKUSTAHILI KUFANYA VILE.
›
Siku mbili kabla ya mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza ambao utawakutanisha mahasimu wa kaskazini mwa jiji hilo, Tottenham Hotspurs...
Titus Bramble AFUNGIWA.
›
Uongozi wa klabu ya Sunderland umetangaza kumsimamisha kwa muda, beki wa klabu hiyo Titus Bramble ambae anakabiliwa na tuhuma za ubakaji pam...
SAKATA LA CARLOS TEVEZ LAENDELEA KUSUMBUA UINGEREZA.
›
Meneja wa mabingwa wa soka nchini Uingereza Man Utd Sir Alex Ferguson amemuunga mkono meneja wa klabu pinzani ya Man city Roberto Mancini ku...
Thursday, September 29, 2011
MFANYABIASHARA WA KIMAREKANI AWA RAISI WA AS ROMA.
›
Mfanya biashara kutoka nchini Marekani Thomas DiBenedetto ametangazwa kuwa raisi wa klabu ya AS Roma baada ya kukamilisha mipango ya kununua...
ROBERTO MARTINEZ AIKATAA MIPANGO YA KUMSAJILI DIOUF.
›
Meneja wa Wigan Athletics, Roberto Martinez amekanusha taarifa za kuwa mbioni kumsajili mshambuliaji kutoka nchini Senegal El-Hadji Diouf. R...
TEVEZ APIGWA STOP ETIHAD STADIUM.
›
Uongozi wa klabu ya Man City umemsimamisha kwa muda wa majuma mawili mshambuliaji kutoka nchini Argentina Carlos Tevez kufuatia utovu wa nid...
Frank Lampard AKIRI KUKASIRIKA.
›
Mfungaji wa bao la Chelsea katika mchezo wa kundi la tano la michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya dhidi ya Valencia CF uliochezwa usiku...
Alex Chamberlain AZUA GUMZO.
›
Bao lililofungwa katika dakika ya 8 na mshambuliaji wa pembeni kutoka nchini Uingereza na klabu ya Arsenal Alex Chamberlain, limemfanya mche...
AC MILAN NI KIBOKO ULAYA.
›
Stadio Giuseppe Meazza, Milan AC Milan 2 - 0 Viktoria Plzen Matokeo ya michezo mingine ya ligi ya mabingwa barani Ulaya iliyochezwa usiku hu...
›
Home
View web version