Meneja wa klabu ya Chelsea Carlo Anceloti amemkana kiungo wa kimataifa toka nchini Afrika kusini Steven Pienaar kwa kusema hakuwahi kumuhitaji mchezaji huyo na wala kuwasiliana nae.
Amesema kikosi chake kina viungo wa kutosha hivyo hakuona kusudio la kufanya hivyo katika kipindi hicho hivyo amewataka waandishi wa habari kumuuliza mchezaji huyo swali walilomtupia hii leo walipokutana.
No comments:
Post a Comment