KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, August 7, 2009

ARSENAL KUVUKA DARAJA LA LIGI YA MABINGWA?



Washika bunduki wa London ARSENAL watawakabili Celtic katika mchezo wa kuwani nafasi ya kuelekea kwenye hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa barani Ulaya.

Arsenal wameangukia kwa Celtic baada ya kufanyika kwa Droo ya hatua ya mtoano hii leo huko mjini Lnyon nchini Uswiz.

Michezo mingine ya hatua hiyo ya mtoano ni kama ifuatavyo;



FC Sheriff v Olympiakos



SV Red Bull Salzburg v Maccabi Haifa



FK Ventspils v FC Zurich



FC Copenhagen v Apoel Nicosia



Levski Sofia v Debrecen



Lyon v Anderlecht



FC Timisoara v VfB Stuttgart



Sporting v Fiorentina



Panathinaikos v Atletico Madrid



Michezo hiyo itachezwa kati ya August 18/19, na michezo ya marudiano itachezwa kati ya August 25/26.


No comments:

Post a Comment