Wakati ratiba ya ligi ya mabingwa barani Ulaya ikipangwa mchana wa hii leo kwa saa za hapa nyumbani Tanzania kikosi cha klabu ya Arsenal kilikua mazoezini huko jijini London ambako kwa sasa kuna baridi ya kali sana.
Wachezaji walionekana kuw ana furaha wala wahakuonyesha hofu ya kuwahofia Barcelona.
No comments:
Post a Comment