Makundi ya michuano ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika ya mwaka 2010 hii leo yamapangwa huko nchini Angola itakapofanyika michuano hiyo mapema mwakani.
Group A: Angola, Mali, Algeria, Malawi.
Group B: Ivory Coast, Ghana, Togo, Burkina Faso.
Group C: Egypt, Nigeria, Benin, Mozambique.
Group D: Cameroon, Tunisia, Zambia, Gabon.
Group A: Angola, Mali, Algeria, Malawi.
Group B: Ivory Coast, Ghana, Togo, Burkina Faso.
Group C: Egypt, Nigeria, Benin, Mozambique.
Group D: Cameroon, Tunisia, Zambia, Gabon.
Baada ya kupangwa kwa michuano hiyo ratiba inaonyesha kwamba wenyeji wa fainali hizo timu ya taifa ya Angola itafungua michuano hiyo kwa kucheza na timu ya taifa ya Mali.
nchi zetu za mashaliki hakuna hata kamoja kalikojikokota kakajalibu hata kukanyaga tu??
ReplyDeleteSasa kaka tukishacheza mashindano hayo ya Afrika na Challenge tumuachie nani?
ReplyDelete