KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, November 9, 2009

MAN UTD GIIIIIIIIIIII !!!!!!!!!!!!!


Bao pekee la John Terry lilitosha kuisongesha klabu yake ya Chelsea kwa tofauti ya point tano katika msimamo wa ligi Kuu ya soka ya nchini Uingereza na kuishusha Man UTD hadi katika nafasi ya tatu katika msimamo huo.

Nahodha huyo wa Chelsea alipachika bao hilo katika dakika ya 76 na kuifanya Chelsea kupata ushindi wa 10 mfululizo katika uwanja wa nyumbani.

Katika mchezo huo wa Novemba 8 Wayne Rooney alikosa nafasi za wazi katika lango la Chelsea, lakini mwisho wa dakika 90 ilifahamika kwamba bahati haikua ya mashetani wekundu.

No comments:

Post a Comment