Klabu ya Chelsea imepania kula sahani moja na klabu ya Real Madrid katika dirisha dogo la usajili ambalo limebakiza siku kadhaa kabla ya kufunguliwa mwezi januari mwaka 2010.
Chelsea wameweka dhamira hiyo baada ya kufuatia kutangaza kurejea tena katika hatua zao za kutaka kumsajili winga wa kimataifa toka nchini Ufaransa na klabu ya Bayern Munich ya nchini Ujerumani Frank Ribery ambae pia anawaniwa na klabu ya Real Madrid kwa dau la paund million 45.
Chelsea wameingia katika hatua hiyo baada ya kuonyesha kukata tamaa katika harakati zao za kutaka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Argentina na klabu ya Atletico Madrid ya Hispania Sergio Aguero.

No comments:
Post a Comment