KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, November 23, 2009

WENGER KATIKA CHANGAMOTO !!!


Meneja wa klabu ya Arsenal Arsène Wenger ameonyesha kuwa na imani na kiungo wake Tomas Rosicky pamoja na beki William Gallas kwamba watasaini mikataba mipya hivi karibuni.

Wachezaji hao waliojiounga na klabu hiyo ya jijini London mwaka 2006, mikataba yao inaratajia kufikia kikomo mwaka ujao hatua ambayo inausukuma uongozi wa klabu hiyo kuwashawishi ili waweze kusiani mikataba mipya.

Arsene wenger amesema anaamini Rosicky na Gallas wataisini mikataba yao mipya mnamo Novemba 29 mpaka 31.

No comments:

Post a Comment