KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, November 30, 2009

WATEULE.



Wachezaji Didier Drogba na Samuel Eto'o wamefanikiwa kuwa miongoni mwa wachezaji 10 wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa barani ulaya mwaka 2009.

Orodha hiyo ya mwisho wachezaji hao wa kimataifa kutoka Ivory Coast na Cameroon wanaungana na wachezaji wa Uingereza Steven Gerrard na Wayne Rooney huku klabu ya Barcelona ikiwa na Messi, Xavi Alonso, Andres Iniesta na Zlatan Ibrahimovic wanaowania tuzo hiyo, inayojulikana kama, Ballon d'Or, na mshindi atatangazwa Desemba mosi.

Etoo pamoja na drogba wanawaina tuzo hiyo huku wakiwa na lengo la kutaka kuifikia rekodi iliyowekwa na mchezaji wa zamani wa Liberia George Weah ambae ni mchezaji pekee kutoka bara la Afrika aliewahi kushinda tuzo hiyo. Mwaka 1995 sambamba na tuzo ya mchezaji bora wa dunia.

No comments:

Post a Comment