KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Thursday, December 10, 2009

LIGI YA MABINGWA YAMALIZA KIHUNZI CHA PILI.

Olympiakos 1-0 Arsenal



Matokeo ya michezo mingne ya michuano hiyo ni pamoja na

Dynamo Kiev 1-2 Barcelona

Inter Milan 2-0 Rubin Kazan

Liverpool 1-2 Fiorentina

Lyon 4-0 Debrecen

Olympiakos 1-0 Arsenal

Sevilla 1-0 Rangers

Standard Liege 1-1 AZ Alkmaar

VfB Stuttgart 3-1 Unirea Urziceni
Klabu zilizofanikiwa kusonga mbele katika michuano hiyo kupitia tiketi ya kuongoza makundi yao ni pamoja na;

Bordeaux , Manchester United, Real Madrid, Chelsea, Fiorentina, Barcelona, Sevilla pamoja na Arsenal.

Kwa upande wa klabu zilizofanikiwa kucheza hatua ijayo kupitia tiketi ya kushika nafasi ya pili katika makundi ni pamoja na;

Bayern Munich, CSKA Moscow, Milan, Fc Porto, Lyon, Internazionale, Stuttgart pamoja na Olympiakos.

Ratiba ya hatua ya mtoano ya michuano hiyo inatarajiwa kupangwa Disemba 18 mwaka huu mjini Zurich nchini Uswiz.

No comments:

Post a Comment