Hofu imetanda miongoni mwa wananchi wa Uingereza wanaoishi kwenye miji yenye viwanja ambavyo vipo katika harakati ya kuorodheshwa ili viweze kuchezewa fainali za kombe la dunia mwaka 2018.
Chama cha soka nchini Uingereza kinatarajiwa kuteua miji yenye viwanja hivyo hii leo ili kuiwezesha nchi hiyo kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwani nafasi ya kuwa mwenyeji wa fainali hizo mwaka 2018.
Miji ambayo ipo katika mchakato huo ni 18 huku chama cha soka nchini Uingereza kikitarajiwa kuitaja miji 15.
Miongoni mwa miji hiyo 18 ni pamoja na Birmingham, Bristol, Derby, Hull, Leeds, Leicester, Liverpool pamoja na London.
Miji mingine ni Manchester, Milton Keynes, Newcastle/Gateshead, Nottingham, Plymouth, Sheffield pamoja na Sunderland.

No comments:
Post a Comment