KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, December 4, 2009

TORRES KUREJEA UWANJANI.


Mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Hispania na klabu ya Liverpool Fernando Torres huenda akarejea uwanjani katika mchezo dhidi ya Blackburn ambao utapigwa Disemba 05 kwenye uwanja wa Ewood Park.

Torres anatarajiwa kucheza katika mchezo huo baada ya kupona maumivu ya nyonga yaliokua yakimsumbua kwa muda wa majuma kadhaa yaliyopita.

No comments:

Post a Comment