
Mshambulaiji wa klabu ya Arsenal Robin van Persie anaonyesha matumaini mazuri ya kurejea uiwanjani mapema kufuatia upasuaji mdogo katika kufundo cha mguu aliofanyiwa kufanikiwa.
Meneja wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amesema mshambuliaji huyo anaendelea vyema na huenda akarejea uwanjani kabl ya miezi mitano ambayo iliripotiwa siku za nyuma.
No comments:
Post a Comment