
Mshambuliaji na nahodha wa timu ya taifa ya Ivory Coast Didier Drogba usiku wa kuamkia leo alitangazwa kuwa mchezaji bora wa bara la Afrika kwa mwaka 2010.
Drogba ametangazwa kuwa mshindi katika tuzo hiyo ambayo hutolewa na shirikisho la soka barani Africa CAF huku akiawabwaga wapinzani wake Samuel Eto’o pamoja na Michael Esien ambao nao walikuwepo kwenye kinyang’anyiro hicho.
Mbali na Drobga kutangazwa kuwa mshindi wa tuzo hiyo ya mchezoji bora katika hafla iliyofanyika mjini Acra nchini
No comments:
Post a Comment