
Nahodha na kiungo wa klabu ya Liverpool Steven Gerrard, huenda akachunguzwa na chama cha soka nchini Uingereza kufuatia ishara ya V aliyomuonyesha muamuzi Andre Marriner aliechezesha mchezo wa usiku wa kuamkia leo kati ya majogoo wa jiji dhidi ya
Gerrard anadaiwa kuonyesha ishara hityo baada ya muamuzi Andre Marriner kupuliza kipyenga kufuatia kiungo huyo kumchezea ndivyo sivyo kiungo wa klabu ya wigan James McCarthy katika dakika ya 81.
No comments:
Post a Comment