KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, March 8, 2010

WAKALA WA BALOTELI AKANUSHA.


Wakala wa mchezaji wa kimataifa toka nchini Italia na klabu ya Inter Milan Mario Balotelli amekenusha taarifa za mchezaji wake kuwa mbioni kusaini mkataba mpya.


Corrado Balotelli wakala wa mshambuliaji huyo amesema mchezaji wake ambae pia ni ndugu yake wa kuzaliwa kwa sasa bado anaendelea na mkataba wake wa zamani na hana taarifa zozote za uongozi wa klabu ya Inter Milan kuwa mbioni kumpa mkataba mpya.

No comments:

Post a Comment