
Mabingwa watetezi wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza Manchester United wameshindwa kuitetea nafasi
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa hii leo na kampuni inayoshughulika na uchunguzi wa mapato ya vilabu barani Ulaya iitwayo Deloitte Football Money imeonyesha kwamba Man utd wameshushwa katika orodha ya vilabu vilivyoingiza kiasi kikubwa cha cha mapato msimu uliopita ambapo nafasi ya kwanza imechukuliwa na klabu ya Real Madrid ikifuatiwa na Fc Barcelona.
Sababu kubwa iliyotolewa na kampuni hiyo juu ya kushushwa kwa Man Utd katika orodha hiyo ni deni la paund million 500 linaloikabili klabu hiyo inayomilikiwa na familia ya Glazer kutoka nchini Marekani.
1. Real
2.
3.
4. Bayern Munich 289.5m
5. Arsenal 263.0m
6.
8. Juventus 203.2m
7.
9. Internazionale 196.5m
10. AC Milan 196.5m
11. Hamburger SV 146.7m
12. Roma 146.4m
13.
14. Marseille 133.2m
15. Tottenham Hotspur 132.7m
16. Schalke 124.5m
17. Werder Bremen 114.7m
18. Borussia Dortmund 103.5m
19.
20. Newcastle United 101.0m
No comments:
Post a Comment