Familia ya Glazer inayoimiliki klabu ya Man Utd imetoa tamko la kutokua tayari kuiuza klabu hiyo na badala yake itaendelea kuimiliki Tamko la familia hiyo limetolewa baada ya malalamiko ya muda mrefu ya mashabiki wa klabu ya Man utd ambao wanaonekana kuchoshwa na utaratibu unaotumiwa na wamiliki hao ambao wanadai umekua ukiipa hasara klabu
Msemaji wa familia hiyo amesema msimamo uliopo sasa kwa mabosi wake ni kuendelea kuiendesha klabu hiyo, na hawana mpango wowote wa kuiuza Man utd kwa mashabiki wake
Zogo la mashabiki wa klabu ya Man Utd la kutaka kuuziwa klabu
No comments:
Post a Comment