KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Tuesday, May 11, 2010

AFRIKA KUSINI PAKO TAYARI KWA ASILIMIA 90.


Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya fainali za kombe la dunia nchini Afrika Kusini Danny Jordaan amesema asilimia kubwa ya maandalizi ya fainali hizo yamekamilika.

Amesema kwa sasa wanasubiri kuzipokea timu shiriki pamoja na wageni mbali mbali ambao wanawatarajia nchini humo.

No comments:

Post a Comment