Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza Fabio Capello hii leo amewastaajabisha walio wengi ulimwenguni kufuatia kutaja kikosi chake kitakachoingia kambini tayari kwa kujifua kwa ajili ya fainali za kombe la dunia.
Capello ameustaajabisha umma, baada ya kumuita kikosini kiungo kinda wa klabu ya Man City Adam Johnson pamoja na nahodha mbadala wa klabu ya Tottenham Michael Dawson sambambana kiungo wa klabu hiyo Huddlestone.
Jamie Carragher beki na nahodha mbadala wa klabu ya Liverpool nae ameitwa kikosini licha ya kutangaza kustaafu kuichezea timu ya taifa ya Uingereza pamoja na beki mwenzake wa klabu ya Tottenham ambae pia ni nahodha wa klabu hiyo Ledley King, huku Gareth Barry wa Man city wa Man city ambae ni majeruhi akijumuishwa katika kikosi hicho.
Kikosi kamili cha wachezaji 30 kilichoitwa na Fabio Capello kwa upande wa;
Makipa:

Hart Joe, James Daudi, Robert Green.
Mabeki:
Leighton Baines, Jamie Carragher, Ashley Cole, Dawson Michael, Rio Ferdinand, Glen Johnson, Ledley King, John Terry, Upson Mathayo, Stephen Warnock.
Viungo:
Viungo:
Gareth Barry, Michael Carrick, Joe Cole, Steven Gerrard, Tom Huddlestone, Adam Johnson, Frank Lampard, Aaron Lennon, James Milner, Scott Parker, Theo Walcott, Shaun Wright-Phillips.
Washambuliaji:
Darren Bent, Peter Crouch, Jermain Defoe, Emile Heskey, Wayne Rooney.
No comments:
Post a Comment