Beki wa klabu ya Newcastle Utd Fabricio Coloccini ameachwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Argentina ambacho kimeitwa kwa mara ya mwisho na kocha mkuu Diego Armando Mardona.
Kikosi hicho cha wachezaji 23 kilichotajwa na Maradaon pia kimeshuhudia mshambualiaji wa klabu ya Napoli Fc Ezequiel Lavezzi akiwa miongoni mwa wachezaji saba walioachwa.
Akizungumza kabla ya kutangaza kikosi chake Maradona, amesema anakwenda Afrika kusini kushindana na si kushiriki hivyo ana matarajio ya kufanya vyema katika fainali za kombe la dunia za mwaka huu.
Maradoa pia amevieleza vyombo vya habari juu ya kiungo mshambuliji Lioneli Messi ambae amedai atampa uhuru wa kucheza namna atakavyo kenye fainali hizo kwa lengo la kuisaidia timu ipate ushindi.
Kikosi cha Argentina chenye wachezaji 23 kwa upande wa:
Makipa:

Sergio Romero (AZ Alkmaar), Mariano Andujar (Catania), Diego Pozo (Colon)
Mabeki:
Nicolas Burdisso (Inter Milan), Martin Demichelis (Bayern Munich), Walter Samuel (Inter Milan), Gabriel Heinze (Olympique Marseille), Nicolas Otamendi (Velez Sarsfield), Clemente Rodriguez (Estudiantes), Ariel Garce (Colon)
Viungo:
Javier Mascherano (Liverpool), Juan Sebastian Veron (Estudiantes), Maximiliano Rodriguez (Liverpool), Mario Bolatti (Fiorentina), Angel Di Maria (Benfica), Jonas Gutierrez (Newcastle), Javier Pastore (Palermo)
Washambuliaji:
Sergio Aguero (Atletico Madrid), Diego Milito (Inter Milan), Martin Palermo (Boca Juniors), Carlos Tevez (Manchester City), Gonzalo Higuain (Real Madrid), Lionel Messi (Barcelona).
Timu ya taifa ya Argentina imepangwa kwenye kundi la pili ambalo lina timu za Ugiriki, Nigeria pamoja na Korea kusini.
No comments:
Post a Comment