KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, June 7, 2010

PALACIO AUMUA KIDEVU.


Kiungo wa timu ya taifa ya Honduras Wilson Palacios yu mashakani kushiriki fainali za kombe la dunia baada yah ii leo kuumia kidevu alipokua kwenye mchezo wa kujipima ubavu dhidi ya timu ya taifa ya Romania.

Daktari wa timu ya taifa ya Honduras Raul Perez amesema beki huyo mara baada ya kuumia kidevu katika mchezo huo wa kirafiki alikimbizwa ya Austrian na kwa hivi sasa hali yake inaendelea vyema.

Pamoja na hali ya beki huyo kuendelea vyema mpaka hivi sasa bado daktari wa timu ya taifa ya Honduras aliwataka waandishi wa habari kusbiri mpaka hapo kesho ambapo itafahamika kama atakua miongoni mwa wachezaji watakaocheza fainali za kombe la dunia.


No comments:

Post a Comment