KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Friday, August 27, 2010

EUROPA LEAGUE 2010-11.


Klabu ya Liverpool imekua miongoni mwa vilabu vilivyofanikiwa kusonga mbele katika michuano ya ligi ya Ulaya, baada ya kuiondosha katika michuano hiyo klabu ya Trabzonspor ya nchini uturuki.

Liverpool wamefanikiwa kusonga mbele na kutinga katika hatua ya makundi ya michuano hiyo, kufuatia ushindi wa mabao mawili kwa moja yaliyofungwa na mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Uholanzi Dirk Kuyt pamoja na beki wa Trabzonspor Remzi Giray Kacar aliejifunga mwenye katika dakika ya 84 huku bao la kufutia machozi kwa klabu hiyo ya nchini Uturuki likifungwa na Teofilo Gutierrez.

Ushindi huo unaifanya klabu ya Liverpool kumaliza uteja wa kufungwa na klabu za Uturuki zinapocheza nyumbani.

Baadhi ya matokeo ya michezo mingine ya michuano hiyo ni pamoja na;

Maribor (Slovenia) 3-2 Palermo (Italy) - Palermo win 5-3 on aggregate;

Karpaty Lviv (Ukraine) 1-1 Galatasaray (Turkey) - Karpaty Lviv win on away goals after 3-3 on aggregate;

The New Saints (Wales) 2-2 CSKA Sofia (Bulgaria) - CSKA Sofia win 5-2 on aggregate

Aston Villa (England) 2-3 Rapid Vienna (Austria) - Rapid win 4-3 on aggregate;

Elfsborg Boras (Sweden) 0-2 Napoli (Italy) - Napoli win 3-0 on aggregate;

Juventus (Italy) 1-0 Sturm Graz (Austria) - Juve win 3-1 on aggregate

Manchester City (England) 2-0 FC Timisoara (Romania) - City win 3-0 on aggregate;

No comments:

Post a Comment