KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Saturday, November 27, 2010

Frank Arnesen KUONDOKA CHELSEA.


Klabu ya Chelsea imethibitisha kuwa mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Frank Arnesen ataachia ngazi mwishoni mwa msimu huu kama mkataba wake unavyoeleza.

Chelsea wamelazimika kuthibitisha taarifa hizo baada ya mazungumzo ya kumtyaka Frank Arnesen kuoboresha mkataba wake kushindwa kupata muafaka mzuri.

Sababu kubwa ya mazuntguimo hayo kushindwa kupata muafaka ni kufuatia Frank Arnesen kukataa kata kata kuongeza mkataba mwingine klabuni hapo huku akidai muda wake wa kufanya kzi Chelsea umemalizika hivyo inamlazimu kumpisha mtu mwingine aendeleze kurudumu la mafanikio.

Frank Arnesen anaondoka ndani ya klabu ya Chelsea huku akiwa mefanya mambo mengi ya kimaendeleo ambayo yamekisaidia kikosi cha Chelsea kuwa sajili wachezaji muhimu kama
Arnesen ametoa shukurani zake za dhati kwa wote wanaoipa nafasi Chelsea katika mioyo yao kwa kuwaeleza kwa kipindi chote cha chazi yake wamekua pamoja hivyo anaamini wamefanikisha vyema malengo yaliyokua yamewekwa klabuni hapo.

Amesema kazi yake aliyoifanya kwa asilimia kubwa ana imani imeisaidia klabu hiyo ya jijini London ambauyo kwa sasa inashikilia ubingwa wa soka nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment