KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Sunday, January 16, 2011

HAKUNA MBABE !!


Sunderland 1-1 Newcastle United


Mashabiki 24, wametiwa mbaroni na jeshi la polisi mjini Newcastle kufuatia fujo zilizojitokeza mara baada ya mahasimu wawili wa mji huo Newcastle Utd pamoja na Sunderland kukutana kwenye mchezo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment