KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Tuesday, October 26, 2010

Carling Cup KUENDELEA TENA HII LEO.


Michuano ya kombe la ligi nchini Uingereza *Carling Cup* iliyo katika mzunguuko wan ne hii leo inaendelea tena katika viwanja vitano tofauti;

St Andrews Stadium
Birmingham v Brentford

Portman Road
Ipswich v Northampton

The Walkers Stadium
Leicester v West Brom

The DW Stadium
Wigan v Swansea

Old Trafford
Man Utd v Wolverhampton

No comments:

Post a Comment