Ibrahim Afellay amekamilisha taratibu za kujiunga na klabu ya Barcelona ya nchini Hispania akitokea klabu ya Philips Sport Vereniging (PSV Eindhoven) ya nchini Uholanzi.
Kiungo huyo mshambuliaji mwenye umri wa miaka 24 amejiunga na klabu hiyo bingwa nchini Hispania kwa ada ya uhamisho wa Euro million 3.
No comments:
Post a Comment