Meneja wa klabu ya Chelsea Carlo Ancelotti amekanusha taarifa za kutaka kumsajili kiungo wa kimataifa toka nchini Croatia pamoja na klabu ya Tottenham Hotspurs Luca Modric ambapo amesema mchezaji huyo ni mzuri lakini hana mpango wa kumuhamishia Stamfode Bridge.
Amesema kwa sasa hayapi nafasi mawazo ya kufanya usajili ndani ya kikosi chake na badala yake anafikiria ni vipi ataweza kuupanda mlima wa michezo kadhaa ya ligi ambayo inamuanda kuanzia siku ya jumatatu ya juma lijalo.
No comments:
Post a Comment