KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, December 20, 2010

THELUJI YAHARIBU RATIBA YA LIGI YA UINGEREZA.


Emirates stadium ukiwa umefunikwa na theluji hali iliyopelekea mchezo kati ya Arsenal dhidi ya Stoke City kuahirishwa.

Michezo mingine iliyoahirishwa ni pamoja na;

St Andrews.
Birmingham v Newcastle

Dw Stadium.
Wigan v Aston Villa

Anfield.
Liverpool v Fulham

Michezo ilioyochezwa ni

Ewood Park
Blackburn 1-1 West Ham

Stadium of light
Sunderland 1-0 Bolton

Taarifa zilizopo zinadai kwamba hata michezop ya kesho nayo imeahirishwa kwa sababu za hali ya hewa ambapo michezo hiyo ni;

West Brom P-P Wolves

Blackpool P-P Tottenham

Chelsea P-P Manchester United


No comments:

Post a Comment