Fainali za pili za mataifa bingwa barani Afrika CHAN kesho zitaanza rasmi huko nchini Sudan katika jiji la Khartoum huku timu zote shiriki zikiwa zimeshawasili nchini humo tayari kwa kumsaka mwali wa fainali hizo.
Fainali hizo ambazo zilianzishwa rasmi miaka miwili iliyopita kule nchini Ivory Coast na kushudia mataifa manane yakishishiriki kwa kupangwa katika makundi mawili, kwa mwaka huu yatayashirikisha mataifa 16 ambayo yamepangwa katika makundi manne tofauti.
* Sudan (WENYEJI)
* Congo DR (MABINGWA WATETEZI)
* Algeria Algeria
* Angola
* Cameroon
* Côte d'Ivoire
* Gabon
* Ghana
* Mali
* Niger
* Rwanda
* Senegal
* South Africa
* Tunisia
* Uganda
* Zimbabwe
No comments:
Post a Comment