KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, July 13, 2009

BREAKING NEWS!


Mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Togo na klabu ya Arsenal Emmanuel Adebayor yupo kwenye mazungumzo na uongozi wa klabu ya Manchester City ambao upo tayari kumsajili.



Adebayor ameingia kwenye hatua hiyo baada ya uongozi wa Man City kuthibitisha kumkosa mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Cameroon na klabu ya Barcelona Samuel Eto’o hapo jana.

No comments:

Post a Comment