
Klabu ya Aston Villa imekamilisha usajili wa kiungo wa kimataifa toka nchini Uingereza Fabian Delph akitokea katika klabu ya Leeds UTD.
Kiungo huyo amesajiliwa na Aston Villa kwa makubaliano maaluma ya kutokutaja gharama ya usajili wake.
Meneja wa klabu ya Aston Villa, Martin O'Neill amekamilisha hatua hiyo baada ya kumfuatilia Fabian Delph mwenye umri wa miaka 19 kwa majuma kadhaa.
No comments:
Post a Comment