Liverpool wamefikia uamuzi wa kumuachia kiungo wao wa kimataifa toka nchini Hispania Xabi Alonso ili aweze kujiunga na klabu ya Real Madrid.
Taarifa zilizopo sasa ni kwamba kiungo huyo anafanyiwa vipimo vya afya yake huko jijini Madrid nchini Hispania ikiwa ni sehemu ya kukamilisha usajili wa kujiunga na The Galacticos.
Usajili wa kiungo huyo umeripotiwa kufikia gharama ya paund million 30 ambazo zimeshushwa toka million 34 zilizokuwa zikihitajiwa na uongozi wa klabu ya Liverpool hapo awali.
Xavi Alonso mwenye umri wa miaka 27 alisajiliwa na klabu ya Liverpool mnamo mwaka 2004, akitokea kwenye klabu ya Real Sociedad.

No comments:
Post a Comment