KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Monday, November 30, 2009

BENITEZ AANZA KUTAMBA.


Meneja wa klabu ya Liverpool Rafael Benitez anaamini ushindi wa mbao mawili kwa sifuri walioupata jana dhidi ya klabu ya everton ni sehemu nzuri ya kuanzia katika harakati zao za kurejea kwenye mafanikio kama ilivyokua siku za nyuma.

Benitez amesema anaamini hatua hiyo kufuatia jihadi iliyoonyeshwa na wachezaji wake na kuweza kuwafunga wapinzani wao katika jiji la Liverpool ambao wamewapa nguvu mpya wa kurejea katika reli ya ushindi.

No comments:

Post a Comment