Kiungo wa zamani wa klabu ya Liverpool Vladimir Smicer amepewa kibarua cha kukifundisha kikosi cha timu ya taifa ya Jamuhuri Czech siku moja baada ya kutangaza kustahafu soka.
Smicer mwenye umri wa miaka 36 amepewa kibarua hicho baada ya aliekua kucha wa timu ya taifa ya jamuhuri ya Czech Ivan Hasek, kutangaza kujiuzulu kufuatia kushindwa kuipelekea timu hiyo katika fainali za kombe la dunia za mwaka 2010 ambazo zitafanyika nchini Afrika kusini.
Smicer, ambae alikuwa miongoni mwa wachezaji walioingarisha timu ya taifa ya Jamuhuri ya Czech katika michuano mbali mbali ya kimataifa anatarajia kuanza kazi yake mwishoni mwa juma hili kwa kukiongoza kikosi chake katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya umoja wa falme za kiarabu UAE.

No comments:
Post a Comment