
Wakawa katika wakati wa kutaka kurejea katika harakati za kucheza ligi ya mabingwa barani Ulaya msimu ujao kwa kuhakikisha angalau wanamaliza msimu wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza kwa kuikamata nafasi ya nne, majogoo wa jiji Liverpool wameendelea kukumbwa na mikasa kufuatia beki wao wa kimataifa toka nchini Slovakia Martin Skrtel kuthibitika hatocheza kwa kipindi cha msimu kilichosalia.
Skrtel hatocheza katika kipindi cha msimu kilichosalia baada ya vipimo kuonyesha amevunjika mfupa wa mguu *Metatarsal* kwenye mchezo wa ligi ya Europa uliopigwa kati kati ya juma lililopita dhidi ya mabingwa wa soka nchini
Meneja wa klabu ya
No comments:
Post a Comment