
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza Fabio amewashukuru
Shukurani hizo za Capello zimekuja baada ya mashabiki hao kutoonyesha vitendo vya kuwa kinyume na aliekua nahodha wa timu ya taifa ya Uingereza John Terry ambae yupo kwenye skendo ya kutembea na rafiki wa zamani wa
Mara baada ya mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki kumalizika kwenye uwanja wa Emirates Capello alionekana kufurahishwa na na hatua ya mashabiki hao ambapo ilimlazimu kutoa shukurani zake za dhati kwa kuwaelezea kuwa walionyesha ujasiri mkubwa wa kuwa pamoja na John Terry.
No comments:
Post a Comment