KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Saturday, March 6, 2010

CHAMAKH APIGA HODI ARSENAL.


Ndoto za meneja wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger za kutaka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa toka nchini Morocco na klabu ya Bordeaux ya nchini Ufaransa Marouane Chamakh huenda zikatimia kufuatia hii leo mshambuliaji huyo kutoa uthibitisho wa kuwa tayari kuondoka mwishoni mwa msimu huu.

Chamakh umetoa Uthibitisho huo mwenyewe alipozungumza na vyombo vya habari ambapo amesema kwa sasa anajiandaa na hatua ya kuyakabili maisha ya kucheza ligi kuu ya soka nchini Uingereza.

No comments:

Post a Comment