KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Tuesday, March 2, 2010

KUOMBA RADHI NI JAMBO LA BUSARA SANA!

Kubwa ni kuwaomba radhi nyinyi mashabiki na wafuatiliaji wa blog hii kwa sababu mizunguuko ya maisha ni mingi na hakuna budi kuikabili, hivyo kuanzia sasa tunarejea kuwaarifu kila litakalokua linajiri katika tasnia ya mchezo wa soka hususan nje ya mipaka yetu ya Tanzania.

2 comments:

  1. Ebanaee,,karibu sana ,,tumekumiss sana.Karibu tendelee na utupashe habali motomoto.

    ReplyDelete
  2. bora kaka umerudi hewani niliaanza kukata tamaa ila kwa sasa nimepata nguvu mpya

    ReplyDelete