Kubwa ni kuwaomba radhi nyinyi mashabiki na wafuatiliaji wa blog hii kwa sababu mizunguuko ya maisha ni mingi na hakuna budi kuikabili, hivyo kuanzia sasa tunarejea kuwaarifu kila litakalokua linajiri katika tasnia ya mchezo wa soka hususan nje ya mipaka yetu ya Tanzania.
Ebanaee,,karibu sana ,,tumekumiss sana.Karibu tendelee na utupashe habali motomoto.
ReplyDeletebora kaka umerudi hewani niliaanza kukata tamaa ila kwa sasa nimepata nguvu mpya
ReplyDelete