
Katika kuhakikisha wachezaji wake wanaelekeza mawazo
Akitetea uamuzi wake Mancin alieichukua Man City kutoka kwa Mark Hughes alietimuliwa kazi mwezi Disemba mwaka jana, amesema kwa wakati huu haoni kama kuna manufaa sana kwake na wachezaji wake kwa ujumla kufanya mazungumzo ya mikataba ili hali wanakabiliwa na ushindani wa kuiwania nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza.
No comments:
Post a Comment