KARIBU KWENYE BLOGU YA XTRA COVER ILI UWEZE KUFAHAMU YALE YANAYOTOKEA NJE YA MIPAKA YA NCHI YETU, PIA WAWEZA KUTOA MAONI YAKO KWA TAARIFA YOYOTE ITAKAYO KUKUNA.

Sunday, May 30, 2010

ETO'O YUMO KWENYE KIKOSI.


Licha ya kutishia kujiondoa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon mshambuliaji wa klabu ya inter Milan ya nchini Italia, Samuel Eto'o amejumuishwa kikosini na kuwa miongoni mwa wachezaji 23 watakaoelekea nchini Afrika kusini.

Eto’o alitishia kujiondoa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Cameroon kufuatia kauli iliyotolewa na gwiji la soka la nchi hiyo Roger Milla ambae amemshutumu kwa kumueleza hana moyo wa kizalendo wa kucheza the Indomitable Lion.

No comments:

Post a Comment