Meneja wa klabu ya Fiorentina Cesare Prandelli ametajwa kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Italia ambayo kwa sasa ipo kwenye maandalizi ya fainali za kombe la dunia za mwaka 2010 zitakazofanyika nchini Afrika kuisini mwezi ujao.
Prandelli ataanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi cha Italia mara baada ya kumalizika kwa fainali za kombe la dunia na atadumu katika kazi hiyo kwa muda wa miaka minne kufuatia mkataba wake unavyoeleza.

No comments:
Post a Comment