Kiungo wa kimataifa toka nchini Hispania Fran Merida amekamilisha utaratibu wa kujiunga na klabu ya Atletico Madrid akitokea kwenye klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 20 amekamilisha utaratibu huo kufuatia mkataba wake na klabu ya Arsenal kufikia kikomo hivyo imemlazimu kuhama akiwa kama mchezaji huru.
Sababu kubwa iliyomuhamisha kiungo huyo ni kufuatia kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha klabu ya Arsenal.
Itakumbukwa kuwa Merida akiujiunga na klabu ya arsenal mwaka 2006 akitokea FC Barcelona.

No comments:
Post a Comment